Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ana hela vibaya mnoo, hanywi pombe, havuti fegi, anakula vizuri, hana mke ( alifariki)...ila dudu sasa analitembeza vibaya vibaya na mademu hawajui kama yuko kwenye chain ( haonyeshi), kibaya zaidi hawajali...wanaangalia mpunga tuu!

Ila wadada wa dar kwa kujilipua mmhhh!





Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Sasa hali ilivyo kuwa mbaya bora kupima hakuna namna
 
Kupima sio kazi,kuchukua majibu best
Namwambia kujipima home!...hospital miyeyusho sana yaan wale manesi hawana customer care!

Watu wanatokaga mle wanaangua vilio kama nini!

Nasikia wakikupima siku hizi hupewi admonition wala at least well recommendation about a certain disease!...Ni unamwagiwa majibu hapo ukajiju[emoji848]...too bad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namwambia kujipima home!...hospital miyeyusho sana yaan wale manesi hawana customer care!

Watu wanatokaga mle wanaangua vilio kama nini!

Nasikia wakikupima siku hizi hupewi admonition wala at least well recommendation about a certain disease!...Ni unamwagiwa majibu hapo ukajiju[emoji848]...too bad

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka kitaa walikuwa wale wa damu salama nikaenda kujitolea tulipewa majibu watu wanne palepale hatari 😄😄😄😄
 
Huu uzi utakua na idadi kubwa sana ya watazamaji lkn itakosa wachangiaji...
Anyway ni kawaida yetu hatutak kuambiwa ukweli...
Asante mkuu kwa kutukumbusha ukweli huu mchungu japo HIV sio miongoni mwa magonjwa tishio tena kama ilivyokua hapo awali

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tishio kama hujaupata.Ngoja uukwae ndio utajua namna gan h.i.v haifanan na gonjwa lolote lile
 
Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.

ujumbe
ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama tumejisahau kuwa ukimwi upo, in fact , kama huna maambukizi huwezi feel! ila ndugu zetu wengine walio pata maambukizi kwa sababu mbalimbali wao wanafeel na wananielewa nini nazungunza! ngono zembe, ni hatari, siku hizi HIV Tester zipo katika maduka ya madawa, nenda ukajipime na mwenza wako, usienda na mtu bila kupima, tuacheni michezo ya kujichezeaa kamali katika maisha yetu.

tujihadhali, ukimwi bado upo,
Unaongea kama yamekukuta.
Asante kwa ujumbe.
 
Binafsi naamini dawa hizo zina side effect zake. Na nafsi yangu inakataa kunywa vidonge hivyo vikubwa kila siku ya siku zangu zilizobaki.
Sishawishi watu waniige, ila mimi nikiukwaa siwapi nafasi virusi wanitese kwa ujumla.
Mkuu Kuna magonjwa yanatesa zaidi ya HIV, na mbaya zaidi hayana Dawa hata za kufariji.
 
Back
Top Bottom