Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,788
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanahanya, dawa zenyewe raia wa Kinondoni wanachukulia Temeke, wa Ilala wanazifuata Kinondoni maamae. Sio masihara!Siku hizi hospital za serikali bure Wana mahema yao kabisa pembeni
TwafaaaaKuwa makini zaidi , siku hizi kuna kinywaji ukinywa kama ni positive.kile kipimo kinakuonyesha upo negative.
Njia nzuri ya kumpima mtu ni lala nae usiku kucha ai shinda nae mchana hakikisha hanywi COCACOLA, Mda wa masaa ata 12 mkiamka asubuhi mkapime.
Mgonjwa wa HIV akinywa cocacola kipimo kinaonyesha negative.
Na hiyo njia waathirika wengi wanaijua hivyo ukimwambia kupima anatoka nyumbani akiwa kajishindilia cocacola akifika kupima unakuta negative
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu atuepushe kwa hiliWatu wanahanya, dawa zenyewe raia wa Kinondoni wanachukulia Temeke, wa Ilala wanazifuata Kinondoni maamae. Sio masihara!
Kitaa aibu umbea mwengiWatu wanahanya, dawa zenyewe raia wa Kinondoni wanachukulia Temeke, wa Ilala wanazifuata Kinondoni maamae. Sio masihara!
Inshaallah...Hili gonjwa linafedhehesha sana jamaniMungu atuepushe kwa hili
Amna mtu anataka kunyooshewa vidole aisee! Kwa zama hizi za insta ukawilii kugombana namtu akakupost unachukua minjingu! 😀😀😀Kitaa aibu umbea mwengi
Kuna watu wanauchukulia poa ila ukiambiwa unao kazi kujikubali kumeza vidonge kila siku si mchezoInshaallah...Hili gonjwa linafedhehesha sana jamani
Pepsi hizi hizi za Mirinda?Nasikia pia kama unao kabla ya kupima ukinywa Pepsi vipimo vinatoka Safi huna.
😄😄😄😄Amna mtu anataka kunyooshewa vidole aisee! Kwa zama hizi za insta ukawilii kugombana namtu akakupost unachukua minjingu! 😀😀😀
Si ndio kama hiyo case hapo juu ya mkorinto wa 6 alivyodai jamaa kakaa na mchumba mwenye virusi kwa mda mrefu bila kujua bcoz mchumba akinywa PEP au PREP CD4 zikipanda hata akipima haionyeshi.
Yes na cocacolaPepsi hizi hizi za Mirinda?
Duh hii kwa wale makafiri sindio watatuua sana. Dah bora nikomae na manzi angu mmoja ananitosha tu. Kama ataniua yeye huko mbeleni basi tena!Nasikia pia kama unao kabla ya kupima ukinywa Pepsi vipimo vinatoka Safi huna.
FactWatu wengi hawajali afya zao kwa sababu hawajui status zao, na suala la kupima limekuwa mtihani mkubwa sana. Ukipima then ukajiona uko safe, halafu ukakumbuka dhambi za kugegeda ulizofanya, ukakumbuka mazingira uliyowahi kujihatarisha kwa sababu ya kumuendekeza Abdala Kichwa Wazi, hakika huwezi kurudia kuuza mechi kizembe.
Kama unajali, anza kupima kwanza, then baada ya hapo utakuwa makini na kamwe hutakubali kumuamini mtu kirahisirahisi! Aids is real!
cc: witnessj HawachiKuwa makini zaidi , siku hizi kuna kinywaji ukinywa kama ni positive.kile kipimo kinakuonyesha upo negative.
Njia nzuri ya kumpima mtu ni lala nae usiku kucha ai shinda nae mchana hakikisha hanywi COCACOLA, Mda wa masaa ata 12 mkiamka asubuhi mkapime.
Mgonjwa wa HIV akinywa cocacola kipimo kinaonyesha negative.
Na hiyo njia waathirika wengi wanaijua hivyo ukimwambia kupima anatoka nyumbani akiwa kajishindilia cocacola akifika kupima unakuta negative
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mwambie wifi awe makini akishindwa atumie hata Kinga 😅😅😅Duh hii kwa wale makafiri sindio watatuua sana. Dah bora nikomae na manzi angu mmoja ananitosha tu. Kama ataniua yeye huko mbeleni basi tena!