Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Na hapo ndipo vijana tunapoangamia. Baada ya kumpima hutoona vidudu ndani ya siku alizoupata. Utataka umuoneshe kuwa wewe sio mwanaume wa Dar na cha mkongo utapakaa ili usugue K dakika 45 bila kukojoa.

Mwanamke akikauka tu katikati ya safari ujue umechubuka! Na yale majimaji ya ukeni yakishapenya tu kwenye ngozi ujue umeenda na maji!
Yaaan mi ningekuwa mwanaume nisingesugua K wala nini[emoji848]...kwanza ili nigundue nini?

Ningejiwekea pilau tuangalie mi na demu wangu akilowana na mimi nimedindisha karibia napiz, namuingizia dudu fasta nakojoa nachomoa!...yy akitaka kukojoa atajiju[emoji57]

Nisingesugua K kamwe mweeh!..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.

ujumbe
ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama tumejisahau kuwa ukimwi upo, in fact , kama huna maambukizi huwezi feel! ila ndugu zetu wengine walio pata maambukizi kwa sababu mbalimbali wao wanafeel na wananielewa nini nazungunza! ngono zembe, ni hatari, siku hizi HIV Tester zipo katika maduka ya madawa, nenda ukajipime na mwenza wako, usienda na mtu bila kupima, tuacheni michezo ya kujichezeaa kamali katika maisha yetu.

tujihadhali, ukimwi bado upo,
Uko sahihi mkuu... Sema wengi wanakuwa hawajui status zao na kupima wanaogopa mwisho wa siku wanakata tamaa wanaona bora wajiachie tu!!

Mi kuna kipindi nilijiachia sana, condom nikawa sina muda nazo.. Mpaka nilipokuja kuoa na kupima na majibu yakawa poa. Toka hapo sijawahi chepuka, na sasa ni karibu miezi minne wife hayupo ila nimeweza kusurvive. Kifupi nimekuwa muoga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu ukiambiw ahuyu ni mgonjwa utakataa hata kw angumi hutakubali.....ukianz akukohoa, kukata weight, kunyonyoka nywele kama ile picha iliyowekwa juzi hapa jukwaani, ukianza kuota mapele na madonda yasiyooisha....ukurutu na upele, TB aaghh acheni jamani hii kitu ni hatari sana sana.
Siku hizi ARV inazuia hizi dalili haraka sana coz sasa hivi ukipimwa ukakutwa nao unaanzishiwa dozi right away!

Wazungu wanapiga hela asee, yaan ni mwendo wa kuteremsha makontena daily!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani mmoja wetu awe tayari kutoa ushuhuda hapa, mwaka juzi alikuja Dada mmjoa hapa jukwaani akaanzisha thread kuwa UKIMWI bila pesa ni Mateso. Tulimchangia aisee maana ile thread laima ikutoe machozi but funny enough as we speak now wapo wenzetu ambao wanaambukizwa, wapo ambao wanakata roho, wapo ambao ndio wanatoka kuchukua majibu yao, wapo ambao wanashangilia majibu yako safi, wapo ambao majibu ni hovyo, just as we speak.
Mkuu upandishe huo Uzi wake hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi ARV inazuia hizi dalili haraka sana coz sasa hivi ukipimwa ukakutwa nao unaanzishiwa dozi right away!

Wazungu wanapiga hela asee, yaan ni mwendo wa kuteremsha makontena daily!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uombe MUNGU zikukubali, zikikukataa utakesha......mwanzoni vile vikaratasi vya maelekezo vilikua vimeandikwa side effects zake kabisa. Nina mtu namfahamu pia kagoma kumeza kabisa dawa....ukimuona hutaamini!
 
UKIMWI Upo
1062685
 
Watu wengi hawajali afya zao kwa sababu hawajui status zao, na suala la kupima limekuwa mtihani mkubwa sana. Ukipima then ukajiona uko safe, halafu ukakumbuka dhambi za kugegeda ulizofanya, ukakumbuka mazingira uliyowahi kujihatarisha kwa sababu ya kumuendekeza Abdala Kichwa Wazi, hakika huwezi kurudia kuuza mechi kizembe.

Kama unajali, anza kupima kwanza, then baada ya hapo utakuwa makini na kamwe hutakubali kumuamini mtu kirahisirahisi! Aids is real!
Fat point [emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom