Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ni hatari eeeeeeh maana unaweza mpima mtu leo akawa yupo fiti kumbe jana yake aliuza mechi na mgonjwa ...
Na huyo manzi umpime kila baada ya miezi mitatu....siku ukimhisi anabanjuka stopisha mechi, subiri miezi mitatu mpime tena!Duh hii kwa wale makafiri sindio watatuua sana. Dah bora nikomae na manzi angu mmoja ananitosha tu. Kama ataniua yeye huko mbeleni basi tena!
Sijui kama ulikwenda wapi, niliwahi kuutafuta mara nyingi sana sana sikuwahi kuuona tena ila nakumbuka alikua na jina Surname kama Mbilinyi au something like that, Asha D Abinallah anaweza kukumbuka hii story, nadhani ndio alikusanya michango kama sikosei, ilikua kitambo kidogo, ilikau ina tittle kama "UKIMWI bila pesa ni Mateso"
Kuna msichana kitaa kwa Sasa nafikili ana age ya 16 kaachiwa ugonjwa na wazazi wake katoto kazuri chura ya ukweli huko shule tayari kashaanza kuwapanga vidume
Jitele sasa...ukijifanya kiboloika tu Paradiso ileee!!! HawachiView attachment 1062687vijana tusipime kwa macho
Tupe majibu...umeishia njiani[emoji16][emoji16]Ilikua terehe za ishirini na kidogo mwezi wa March mwaka 2017, nadhani ilikua Jumatano, nikiwa Mkoani Tabora! Nikaenda kupima dah, nilikauka koo kabisa kabisa, maji hayapiti, halafu Dr alikua Kijana mdogo tu, kanipima kaacha kipimo mezani na mimi niko kwenye kiti, nilitamani nikichukue nikimbie.....sitakaa nisahau, sitakaa nisahau. Ni siku ambayo nilikonda kwa dakika kumi nikapoteza kilo kama sita, nakumbuka nilikua na 84kg kuja kupima nikajikuta nina 78kg, Dah kuzirudisha hizo sasa ilinichukua miezi....umbea wa kutaka kuoima huu!! Nawashauri mkapime, usimpime mtu kwa macho
Sijui kama ulikwenda wapi, niliwahi kuutafuta mara nyingi sana sana sikuwahi kuuona tena ila nakumbuka alikua na jina Surname kama Mbilinyi au something like that, Asha D Abinallah anaweza kukumbuka hii story, nadhani ndio alikusanya michango kama sikosei, ilikua kitambo kidogo, ilikau ina tittle kama "UKIMWI bila pesa ni Mateso"
Hahahaha majibu yalikua saafi kabisa lakini.......
Ni ngumu man, yani dah ni heri uwe na manta yako moko uwe unaruka nayo ya ela ote! Ila unajua iko clean arif!Hapo penyewe umejitahidi sana sana
Hizo korosho anabugia sana tu....sema kawapania mademu kinoma!Acha jombaa ale head za wadangaji! Maana wao wakilipiwa misosi mahotelini na kubebwa kwenye ma VX wanaona wamemaliza maisha. Jamaa anawanawa tu nae dah. Hatari faya! Sema kama jamaa anakula minjingu naskiaga inakuwa iko mzuka yani. Haambukizi tena!
Simulia wapi ????Duuuh...maskini alihisi we ndo umepata uhakika kabisa, kwahiyo utaenda simulia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lijamaa la Arachuga hili...wahuni mbayaa[emoji16][emoji16]Extrovert unafurahisha na kiswahili chako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atakuwa anazungusha hio ngenya masela wanaruka nae hawawazi kitu yeyote! Siku wakisanukia mamzi ana niaje duh sijui itakuwaje ani?Kuna msichana kitaa kwa Sasa nafikili ana age ya 16 kaachiwa ugonjwa na wazazi wake katoto kazuri chura ya ukweli huko shule tayari kashaanza kuwapanga vidume
Hivi ni Arusha
hahahah ...hizo ni sifa tu kama mrefu..mfupi...mwembamba.. mnene...mweusi...mweupeMkuu sio kwa kumchunguza namna hii dada yako.
Tusiwe wepesi wa kuomba mechi Mkuu,maana siku hizi vijana baada ya week tunatangaza friendly matchmkuu ni hatari eeeeeeh maana unaweza mpima mtu leo akawa yupo fiti kumbe jana yake aliuza mechi na mgonjwa ...
sema tu muda wa virusi kujionyesha unakuwa bado
kwa mimi mwanaume nikifiria haya hata kama gegedo lilikuwa limesimama linatulia lenyewe tena kwa spidi ya ajabu daaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa jengo lao lipo opposite na office za ma Dr. Wala hakufikiria hivyo.Huwezi elewa maana hujawahi ona jengo wanalochukulia dawa.Duuuh...maskini alihisi we ndo umepata uhakika kabisa, kwahiyo utaenda simulia!
Sent using Jamii Forums mobile app