Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

1062688
 
Yaaaan hapo ndo napochoka!

Sasa sijui mtu ufanyeje?[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ni hatari eeeeeeh maana unaweza mpima mtu leo akawa yupo fiti kumbe jana yake aliuza mechi na mgonjwa ...

sema tu muda wa virusi kujionyesha unakuwa bado

kwa mimi mwanaume nikifiria haya hata kama gegedo lilikuwa limesimama linatulia lenyewe tena kwa spidi ya ajabu daaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh hii kwa wale makafiri sindio watatuua sana. Dah bora nikomae na manzi angu mmoja ananitosha tu. Kama ataniua yeye huko mbeleni basi tena!
Na huyo manzi umpime kila baada ya miezi mitatu....siku ukimhisi anabanjuka stopisha mechi, subiri miezi mitatu mpime tena!

Hiyo ndo itakuwa salama yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upandishe huo Uzi wake hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama ulikwenda wapi, niliwahi kuutafuta mara nyingi sana sana sikuwahi kuuona tena ila nakumbuka alikua na jina Surname kama Mbilinyi au something like that, Asha D Abinallah anaweza kukumbuka hii story, nadhani ndio alikusanya michango kama sikosei, ilikua kitambo kidogo, ilikau ina tittle kama "UKIMWI bila pesa ni Mateso"
 
Ilikua terehe za ishirini na kidogo mwezi wa March mwaka 2017, nadhani ilikua Jumatano, nikiwa Mkoani Tabora! Nikaenda kupima dah, nilikauka koo kabisa kabisa, maji hayapiti, halafu Dr alikua Kijana mdogo tu, kanipima kaacha kipimo mezani na mimi niko kwenye kiti, nilitamani nikichukue nikimbie.....sitakaa nisahau, sitakaa nisahau. Ni siku ambayo nilikonda kwa dakika kumi nikapoteza kilo kama sita, nakumbuka nilikua na 84kg kuja kupima nikajikuta nina 78kg, Dah kuzirudisha hizo sasa ilinichukua miezi....umbea wa kutaka kuoima huu!! Nawashauri mkapime, usimpime mtu kwa macho
Tupe majibu...umeishia njiani[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upandishe huo Uzi wake hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama ulikwenda wapi, niliwahi kuutafuta mara nyingi sana sana sikuwahi kuuona tena ila nakumbuka alikua na jina Surname kama Mbilinyi au something like that, Asha D Abinallah anaweza kukumbuka hii story, nadhani ndio alikusanya michango kama sikosei, ilikua kitambo kidogo, ilikau ina tittle kama "UKIMWI bila pesa ni Mateso"
 
Acha jombaa ale head za wadangaji! Maana wao wakilipiwa misosi mahotelini na kubebwa kwenye ma VX wanaona wamemaliza maisha. Jamaa anawanawa tu nae dah. Hatari faya! Sema kama jamaa anakula minjingu naskiaga inakuwa iko mzuka yani. Haambukizi tena!
Hizo korosho anabugia sana tu....sema kawapania mademu kinoma!

Hatafuni machangu, yy anakula wake za watu classic, madenti, na slays queen za mlimani city zile za oooh yes it's my chubby birthday...usipime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna msichana kitaa kwa Sasa nafikili ana age ya 16 kaachiwa ugonjwa na wazazi wake katoto kazuri chura ya ukweli huko shule tayari kashaanza kuwapanga vidume
Atakuwa anazungusha hio ngenya masela wanaruka nae hawawazi kitu yeyote! Siku wakisanukia mamzi ana niaje duh sijui itakuwaje ani?
 
mkuu ni hatari eeeeeeh maana unaweza mpima mtu leo akawa yupo fiti kumbe jana yake aliuza mechi na mgonjwa ...

sema tu muda wa virusi kujionyesha unakuwa bado

kwa mimi mwanaume nikifiria haya hata kama gegedo lilikuwa limesimama linatulia lenyewe tena kwa spidi ya ajabu daaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusiwe wepesi wa kuomba mechi Mkuu,maana siku hizi vijana baada ya week tunatangaza friendly match
 
Back
Top Bottom