Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ilikua terehe za ishirini na kidogo mwezi wa March mwaka 2017, nadhani ilikua Jumatano, nikiwa Mkoani Tabora! Nikaenda kupima dah, nilikauka koo kabisa kabisa, maji hayapiti, halafu Dr alikua Kijana mdogo tu, kanipima kaacha kipimo mezani na mimi niko kwenye kiti, nilitamani nikichukue nikimbie.....sitakaa nisahau, sitakaa nisahau. Ni siku ambayo nilikonda kwa dakika kumi nikapoteza kilo kama sita, nakumbuka nilikua na 84kg kuja kupima nikajikuta nina 78kg, Dah kuzirudisha hizo sasa ilinichukua miezi....umbea wa kutaka kuoima huu!! Nawashauri mkapime, usimpime mtu kwa macho
 
Dahh hiyo migegedo ya kinga migumu sana unaweza mgegeda mdada akili inakutuma kutoa kinga ukimaliza sasa mawazo ndo yanaanza kama umeambiwa umempa mwanafunzi mimba
Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.

ujumbe
ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama tumejisahau kuwa ukimwi upo, in fact , kama huna maambukizi huwezi feel! ila ndugu zetu wengine walio pata maambukizi kwa sababu mbalimbali wao wanafeel na wananielewa nini nazungunza! ngono zembe, ni hatari, siku hizi HIV Tester zipo katika maduka ya madawa, nenda ukajipime na mwenza wako, usienda na mtu bila kupima, tuacheni michezo ya kujichezeaa kamali katika maisha yetu.

tujihadhali, ukimwi bado upo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha jombaa ale head za wadangaji! Maana wao wakilipiwa misosi mahotelini na kubebwa kwenye ma VX wanaona wamemaliza maisha. Jamaa anawanawa tu nae dah. Hatari faya! Sema kama jamaa anakula minjingu naskiaga inakuwa iko mzuka yani. Haambukizi tena!
Ana hela vibaya mnoo, hanywi pombe, havuti fegi, anakula vizuri, hana mke ( alifariki)...ila dudu sasa analitembeza vibaya vibaya na mademu hawajui kama yuko kwenye chain ( haonyeshi), kibaya zaidi hawajali...wanaangalia mpunga tuu!

Ila wadada wa dar kwa kujilipua mmhhh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha jombaa ale head za wadangaji! Maana wao wakilipiwa misosi mahotelini na kubebwa kwenye ma VX wanaona wamemaliza maisha. Jamaa anawanawa tu nae dah. Hatari faya! Sema kama jamaa anakula minjingu naskiaga inakuwa iko mzuka yani. Haambukizi tena!
Extrovert unafurahisha na kiswahili chako 😂😂😂😂
 
Ilikua terehe za ishirini na kidogo mwezi wa March mwaka 2017, nadhani ilikua Jumatano, nikiwa Mkoani Tabora! Nikaenda kupima dah, nilikauka koo kabisa kabisa, maji hayapiti, halafu Dr alikua Kijana mdogo tu, kanipima kaacha kipimo mezani na mimi niko kwenye kiti, nilitamani nikichukue nikimbie.....sitakaa nisahau, sitakaa nisahau. Ni siku ambayo nilikonda kwa dakika kumi nikapoteza kilo kama sita, nakumbuka nilikua na 84kg kuja kupima nikajikuta nina 78kg, Dah kuzirudisha hizo sasa ilinichukua miezi....umbea wa kutaka kuoima huu!! Nawashauri mkapime, usimpime mtu kwa macho
Nakumbuka nilipo enda kupima kwenye kusubiri majibu nilienda msalani kama mara tatu kwa nusu saa nikawa najiuliza namna hii sijapewa majibu nikipewa wallah nakufa kwa presha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Asikudanganye mtu kondomu haisadii chochote bhana, inasaidia kwa Makahaba tu, wale ndio wanatumia kondomu kila siku lakini sisi wengine....ukimaliza unasali na kutubu!!!
 
Namwambia kujipima home!...hospital miyeyusho sana yaan wale manesi hawana customer care!

Watu wanatokaga mle wanaangua vilio kama nini!

Nasikia wakikupima siku hizi hupewi admonition wala at least well recommendation about a certain disease!...Ni unamwagiwa majibu hapo ukajiju[emoji848]...too bad

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio hakunaga, unapewa majibu cold heartedly. Last time checking ilikuwa hospitali flani ya serikali. Dokta aliposema hongera niko safi ila nichukue tahadhari zaidi hakukuwa na story zaidi nikatembea na Yesu!

Breki ya kwanza ilikuwa grocery ya jirani kuchamba koo kwanza!
 
Ukimwi upo jamani. Kuna siku Nilikwenda pale Sinza palestina kumwona Dr mmoja. Sasa office ya yule Dr inaangaliana na lille Jengo waathirika wanachukua Dawa. Nilimkuta jirani yangu anawapa elimu wenzake kutosahau kunywa dawa. Tena anasema "binti yangu huwa ananikumbusha baba dawa maana nilishamweleza awe ananikumbusha "Mara paapu tukakutanisha macho mweh alibadili somo akaanza kuongea vitu vingine tu. Tena pale mtaani walikuwa wanasema kaungua yule
Siku ile ndo niliamini
Jamani HIV is real. Chezeni salama
.
Duuuh...maskini alihisi we ndo umepata uhakika kabisa, kwahiyo utaenda simulia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom