[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu anakuonaKa amazon forest [emoji23][emoji23]
maarufu za kitalii mkoani Arusha, Impalla na Ngurdoto Mountain Lodge zimetangazwa kuuzwa na Benki ya Exim (T) Limited.
Hoteli hizo ambazo zinamilikiwa na wafanyabiashara kadhaa nchini, ambapo Mkurugenzi wake Mkuu, Melau Mrema alifariki mwaka 2017 zinauzwa na kampuni ya uwakili ya Locus ya jijini Dar es Salaam.
Na umejiunga leo hii hii. Safi sana kijana wa Magufuli [emoji16][emoji16][emoji16]Nakula bata tu kijana wa Magufuli.....[emoji12][emoji12]