Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daktari wa wanawake ameonya dhidi ya kunyoa sehemu za siri eti kama njia moja kudumisha usafi Kulingana na Dkt Ignitius Kibe, Mungu aliumba binadumu awe na nywele hizo anapobalehe kwa sababu kadhaa na pia zina umuhimu sana hasa wakati wapenzi waposhiriki kitendo cha ndoa. Akiwa kwenye mahojiano na runinga ya Citizen Jumatano Machi 27, daktari huyo alisema nywele hizo husaidia sana wakati wa kitendo cha ndoa. Aidha, daktari huyo alisema sio salama kuzinyoa kwani mtu anaweza pata vipele na michubuko kwenye sehemu za siri " Mimi kwangu binafsi napendelea hizo nywele ziwepo, zina umuhimu sana wakati wapenzi wanaposhiriki kitendo cha ndoa," Dkt Kibe alisema. Daktari huyo alisema wale ambao hunyoa nywele hizo wanahatarisha maisha yao kwani ni rahisi kuambukiwa magonjwa ya zinaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinu za kutambua samaki aliyevuliwa kwa mabomu

Mwajuma Mpendu (42) ambaye amekuwa akiuza samaki kwa miaka minne sasa anasema njia za awali za utambuzi wa samaki waliovuliwa ni pamoja na ulegevu.

“Wanakuwa wamelegea na hata ukiwakaanga wanakuwa wachungu,” anasema Mpendu.
Doh..Kuna siku nilinunuaga samaki mchungu huyo.. kumbe ni victim
 
54800342_124462572032423_1006138275932169100_n.jpg
 
Back
Top Bottom