Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,495
Naomba unielekeze namna ya kuandika maandishi ya blue hapa jf.Bayern Munich na Borussia Dortmund wanakutana kwa mara 100 Jumamosi hii na katika kuadhimisha uhasimu wao watabadilishana jezi zao, Bayern wakivaa sare za njano huku Dortmund wakivaa sare nyekundu.
Sent using Jamii Forums mobile app