Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Daktari wangu ni ke. Kwenye annual physical exam huwa tunachekaga sana. Wakati mwingine mjurubeng unasimama aisee halafu anaushika na kuugeuza geuza tu bila wasiwasi yaani. Halafu mrembo kweli kweli. Siku hizi nilishamzoea [emoji16][emoji16][emoji16]
Daaa, yani Ngosha anaweza fanywa hivyo na asichukue hatua yoyote?
Aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…