Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1. Dean mchezaji wa kwanza kumwonyesha kadi nyekundu kwenye Ligi Kuu England alikuwa staa wa Newcastle United, Nolberto Solano alipofanya hivyo kwenye mechi ya kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Ipswich Town, Aprili 2001.
 
455934444_165711.jpeg
 
2. Kadi ya 100, refa Dean kutoka kwenye Ligi Kuu England alionyeshwa Ashley Young baada ya njano mbili wakati Manchester United ilipochapwa 2-1 na Wolves usikuwa Jumanne iliyopita.
 
3. Dean kuna wachezaji watano aliwatoa uwanjani kwa kadi nyekundu mara mbili tofauti na mastaa hao ni Andy Cole (Fulham na Man City), Fernando Torres (Chelsea), Laurent Koscielny (Arsenal), Mike Williamson (Newcastle) na Richard Dunne (Manchester City)
 
4. Timu ambazo zimekuwa wahanga wa kadi nyingi nyekundu kutoka kwa refa Dean ni Chelsea na Manchester City ambao kila moja alionyeshwa kadi tisa nyekundu kwenye mechi zao walizochezeshwa na mwamuzi huyo.
 
5. Timu nyingine zilizokumbwa na makali ya Dean mara nyingi ni Newcastle United walioonyeshwa kadi saba nyekundu, Arsenal kadi sita, Stoke City, Tottenham Hotspur na West Brom hizi timu kila moja zimeonyeshwa kadi tano nyekundu.
 
Wakati hilo la kadi nyekundu 100 za Dean alizoonyesha kwenye Ligi Kuu England ambako amekuwa refa kwa karibu miaka 20, kuna mwamuzi mstaafu, Peter Walton amefichua na kusema kuna nyakati hizo Dean amekuwa akishangilia mabao uwanjani.
Hahahaahahaha[emoji16][emoji16][emoji16] yani mnafungwa halafu refa anashangilia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6. Dean ameonyesha kadi mbili mbili nyekundu kwenye mechi 12 tofauti za Ligi Kuu England, ameonyesha pia kadi tatu nyekundu kwenye mechi moja mara mbili; West Brom 1-1 Fulham (Diop, Clement, Cole) Septemba 2004 na kwenda mechi ya Man City 1-2 Tottenham (Fernandes, Dunne, Assou-Ekotto) Novemba 2008.
 
10. Ukiweka kando misimu yake miwili ya kwanza ya urefa Ligi Kuu England, msimu wa 2010-2011 ndio pekee alionyesha kadi chache nyekundu baada ya kufanya hivyo kwa kuwatoa uwanjani wachezaji wawili tu, lakini misimu yote mingine aliyofuatia, Dean amekuwa akigawa tu kadi nyekundu kama anagawa pipi.
 
Refa huyo mstaafu alisema Dean ni mtu mwenye mapenzi makubwa na mchezo wa soka na ndio maana kuna nyakati nyingine amekuwa akishangilia mabao hasa pale linapofungwa akiwa ameruhusu mchezo uendelee kama timu inayoshambulia kuna mchezaji wao amefanyiwa madhambi.
Refa huyo angekuja achezeshe Simba na Yanga tungemgawanya vipande
 
Back
Top Bottom