Kwema kabisaPoa, kwema huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama poti anajikaza kweli ipo siku nae atazitupiaAndaeitini huyu damu ndo inachemka? Wengine hapa wanakausha tu lakini naamini huu ni ugonjwa kwa wanaume wote marijali [emoji16][emoji16][emoji16]
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Ankoo kama unahudhuria vikao hivyo lazima ndoa na kijana wangu ikushinde. Shangazi yako namnyoa kwa kichupa kuilinda ndoa [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama poti anajikaza kweli ipo siku nae atazitupia
I Don't Understand why Range Rover Owners have tinted windows[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mimi ninunue gari 200 milioni alafu nijifiche ndani.....mimi...?...?? [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Chiiiiiiii nilijua hautaiona post[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poti yupi huyo unaemuongelea, SYB? [emoji1][emoji1]
Kweli aisee. Kuna watu usipopatikana masaa mawili tu fujo. Masaa mawili mazima nakutafuta ulikuwa wapi...and I am like "Are you my mom or something"? [emoji16][emoji16][emoji16]
Poti yupi? Huyu wa Nansio? Mbona alishatupia mara nyingi tu? Ila yeye mjanja. Akitupia huyoo na mbio juu. Anazuga hata siku nzima akipima upepo halafu akija kuibuka anakuja na stori za kula yamini za ugumu. Very smart and tricky...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama poti anajikaza kweli ipo siku nae atazitupia
AiseeA Deadly encounter with one of the deadliest jelly fish...Anakuchora chora hivi halafu baadaye mguu unaoza...
View attachment 1062811
Endeleza kugonga likes kwa wengine pia. Hadithi ndiyo zitanoga zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]NiendeleZ hadithi
Chiiiiiiii nilijua hautaiona post[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poti yupi? Huyu wa Nansio? Mbona alishatupia mara nyingi tu? Ila yeye mjanja. Alitupia huyoo na mbio juu. Anazuga hata siku nzima akipima upepo halafu akija kuibuka anakuja na stori za kula yamini za ugumu. Very smart and tricky...[emoji16][emoji16][emoji16]