moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwakweli ameonyesha udhaifu mkubwaWakati huo huo , Zidane amedokeza kuwa atamuuza golikipa wa zamani wa Chelsea Thibaut Courtois, mwenye umri wa miaka 26, msimu huu. (Mirror)
Kwakweli ameonyesha udhaifu mkubwaWakati huo huo , Zidane amedokeza kuwa atamuuza golikipa wa zamani wa Chelsea Thibaut Courtois, mwenye umri wa miaka 26, msimu huu. (Mirror)
Inter Milan na AC Milan wote wanamfukuzia Winga wa Chelsea Muhispania Pedro, mwenye umri wa miaka 31. (Express)
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hata hili nalo litapita na kuja jingine. Kiki bin kiki bin kiki wa kiki...
Haka Kafarao haka hatari sana aisee
Sana, ingawa mwaka huu hajang'ara sana kama msimu uliopita, hata hivyo bado tegemeo kwa LiverpoolHaka Kafarao haka hatari sana aisee