Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heaven Noo.. You are the exception to the general rule right?
54511067_1994434640865564_1092168250808345996_n.jpg
 
Mwingine ambaye aliishi pale ni staa wa zamani wa Arsenal, Thomas Vermaelen. Staa huyo wa kimataifa wa Ubelgiji mpaka sasa yupo Barcelona lakini ameshindwa kuonyesha makali yake huku majeraha ya mara kwa mara yakimuandama.
 
Staa mwingine ambaye alihamia katika nyumba hiyo ni nyota wa zamani wa Valencia, Andre Gomes ambaye alihamia Barcelona katika dirisha kubwa la uhamisho la majira ya joto mwaka 2016 akitokea Valencia kwa dau la pauni 35 milioni.
 
Inasemekana Coutinho aliinunua nyumba hiyo kupitia kwa staa mwingine wa Barcelona, Luis Suarez ambaye alifanikiwa kuinunua kwa niaba ya Coutinho kabla ya staa huyo hajakamilisha uhamisho wake wa kutua Nou Camp Januari mwaka jana.
 
Mwezi mmoja tu baada ya kuhamia katika nyumba hiyo, Coutinho alivamiwa na vibaka ingawa bahati nzuri yeye na mkewe Aine walikuwa wametoka kwa ajili ya matambezi. Nyumba hiyo ya kifahari ina bwawa la kuogelea, gym, bustani ya gharama na mambo mengineyo.
 
Mpaka sasa Coutinho ameichezea Barcelona mechi 64 huku akifunga mabao 19 na kupika mabao 11 lakini sio chaguo la kwanza la kocha, Ernesto Valverde na Barcelona inaweza kumuuza kwa ajili ya kufidia hasara baada ya kumnunua kwa bei kubwa kutokana na jeuri ya pesa waliyokuwa nayo baada ya mauzo ya Neymar kwenda PSG.
 
Tayari dalili za Barcelona kuachana na Coutinho zipo wazi baada ya klabu hiyo kutumia pauni 70 milioni kumnasa kiungo mahiri wa Ajax na timu ya taifa ya Uholanzi, Frenkie de Jong ambaye anatazamiwa kuanza kuvaa jezi za Wacatalunya hao mwanzoni mwa msimu ujao.
 
Nipo bro!!nipo poa kabsa,habari ya uzima??

[emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1064330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uzima upo aisee. Nimecheka sana na hiyo picha aisee. Wasukuma kiboko aisee
 
Back
Top Bottom