Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anasema wengi wanapenda kutumia vyombo vya moto wakati wote kuendeshwa na kuendesha magari, kupanda pikipiki inampeleka mpaka mlangoni na kama ingewezekana watu wangeendeshwa mpaka vyooni, “tunahitajimkuitumia miili yetu zaidi kama ambavyo baba zetu waliitumia zamani.”
 
Anasema mtu mmoja kati ya wanne nchini Uganda ana shinikizo la damu na hajui kuhusu hali yake kiafya.

“Na asilimia nne ya watu wazima nchini Uganda wana kisukari wakati asilimia 80 hawajui kama wana hali hiyo na asilimia 40 ya vifo nchini vinachangiwa na magonjwa yasiyoambukiza,” anasema Dk Mutungi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…