Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hata hivyo nchini Tanzania, Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu (Nimr) imekuwa ikifanya kazi na Serikali kwa kushirikiana na Shirika la afya duniani (WHO) katika tafiti za uchunguzi ambazo zilionyesha kuwa kasi ya kukua kwa magonjwa yasiyoambukiza ipo juu.