Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1554579174233.jpeg
 
Anasema mtu mmoja kati ya wanne nchini Uganda ana shinikizo la damu na hajui kuhusu hali yake kiafya.

“Na asilimia nne ya watu wazima nchini Uganda wana kisukari wakati asilimia 80 hawajui kama wana hali hiyo na asilimia 40 ya vifo nchini vinachangiwa na magonjwa yasiyoambukiza,” anasema Dk Mutungi.
Wengi wetu (hasa wanaume) tunapuyanga tu huku tukiwa wagonjwa. Kwenda kwenye annual physical exam hatutaki mpaka tuumwe ndiyo tunatia mguu hospitali; na mara nyingi inakuwa too late.

Kwa hali ya sasa mwanaume ukishavuka miaka 35 hakikisha unajua kama vitu hivi viko sawa:

Presha
Sukari
Moyo
Figo
Ini
Prostate
Lehemu

...na mengine madogo madogo. Miaka hii pia ni kawaida kuanza kupaniki kama malengo uliyojiwekea hayajafikiwa na ni rahisi kujikuta unatumbukia katika msongo wa mawazo (depression). Michezo, kuwa na active social life na kujifunza maarifa mapya kunasaidia sana.

Sasa sisi mtu anavuka 35/40 ndo kwanza anahangaika na michepuko, pombe kwa wengi na stress kibao. Wanaume tunateketea sana and something has to change kwa kweli...
 
Back
Top Bottom