Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wengi wetu (hasa wanaume) tunapuyanga tu huku tukiwa wagonjwa. Kwenda kwenye annual physical exam hatutaki mpaka tuumwe ndiyo tunatia mguu hospitali; na mara nyingi inakuwa too late.

Kwa hali ya sasa mwanaume ukishavuka miaka 35 hakikisha unajua kama vitu hivi viko sawa:

Presha
Sukari
Moyo
Figo
Ini
Prostate
Lehemu

...na mengine madogo madogo. Kipindi hiki pia ni kawaida kuanza kupaniki kama malengo ukiyojiwekea hayajafikiwa na ni rahisi kujikuta unatumbukia katika msongo wa mawazo (depression). Michezo, kuwa na active social life na kujifunza maarifa mapya kunasaidia sana.

Sasa sisi mtu anavuka 35/40 ndo kwanza anahangaika na michepuko, pombe kwa wengi na stress kibao. Wanaume tunateketra sana and something has to change kwa kweli...
Kweli bro, ni muhimu kuzijua afya zetu kwakweli.

Hiyo lehemu nilikua sijui maana yake hadi nilipogoogle.
 
Libya kimenuka. Wamarekani, kama kawaida yao, walishavuruga na kusepa ...
Screenshot_20190406-163132~2.jpeg
 
Boeing wametengeneza mindege mibovu. Halafu system muhimu hivyo inakuwa haina backup. CEO wao kaomba msamaha. Hapa wajiandae kulipa mabilioni ya dola kwa familia husika. Hovyo kabisa !!!View attachment 1064580
Yeah, walichemka hapa.Kwa mtazamo wangu hii inatokana na ndoa ya Boeing na FAA kwenye certification za safety.Kwangu mimi it's like Boeing wanajikagua wao wenyewe ...
 
FAA bajeti yao inaminywa kila mwaka na ilifikia mahali wakawapa uhuru manufacturers wajikague wenyewe na wenyewe wapewe tu documentation zote na washirikishwe katika majaribio ya mwisho mwisho na critical safety systems. Naona hili safari hii halikufanyika.

Kwanza sensors pokezi zinazotoa taarifa na maonyo kwenye hiyo ant-stall system yao wakazifanya kuwa optional na mashirika ya ndege inabidi walipie $80K kama walitaka ziwekwe. Sasa mtu unajiuliza. Kitu critical kwenye system sensitive kama hiyo kwa nini kisiwe standard? Lion Air na Ethiopian airlines hawakuzinunua na ndege zilizoanguka hazikuwa nazo. Sensors hizi pokezi ndiyo zina uwezo wa kuona kama readings zinazotoka kwenye sensa za nje kuhusu angle of attack ya ndege ziko sahihi ama la. Katika ajali zote sensors za nje zilikuwa zinatoa readings za uwongo na hiyo ant-stall system inakuwa activated na kuiinamisha ndege ili kuongeza spidi na lift kumbe ndege iko sawa. Sasa ndiyo wanasema sensa hizi pokezi zitakuwa standard kwa ndege zote. Too little too late na maisha ya mamia ya watu yameshapotea.

Jambo la kushangaza hata hivyo ni kutokuwa na back up. Systems za muhimu kwenye ndege mara nyingi zinakuwa na back up na wakati mwingine hata hiyo back up nayo inakuwa na back-up. Kwa nini hii MCAS system imeachwa yenyewe tu bila back up yo yote?

Yote haya ni sababu ya ushindani kutoka Airbus ambao tayari walikuwa wameshafanikiwa kufanya replacements ya ndege zao mid range kwa kuweka injini kubwa, more reliable na zinazokula mafuta kiduchu. Boeing walipaswa kutengeneza ndege mpya lakini kwa kuogopa kuachwa nyuma sana na Airbus wakatumia frame ile ile na kufunga mainjini makubwa ambayo ilibidi wayasogeze mbele zaidi kwenye mabawa na hivyo kuharibu aerodynamics kiasi kwamba ndege ikiwa na angle of attack kubwa hasa wakati wa kuruka inaweza kustall na kudondoka kama jiwe. Badala watafute suluhisho la kudumu wakaamua kupita short cut na kutengeneza software hiyo inayoiinamisha ndege kwa lazima ikihisi tu kama imebinuka sana na inakaribia kupoteza lift. Kutokana na tamaa ya pesa badala ya kuiweka system nzima kama ilivyo kwenye ndege wakaamua kuuza baadhi ya components zake kwa 80K/airplane na wakasahau hata kuweka back up. Sasa wameshapoteza karibia $bilioni 60 na huu ni mwanzo tu. Mashirika ya ndege yote haya itabidi wayalipe na familia zote zilizopotelewa na watu wake nazo hali kadhalika. Watu yaani wamepoteza maisha kwa sababu za kijinga tu na tamaa ya pesa. Sad [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Inavyoonekana FAA hawakuwa na ishu sana kwa sababu Max 8/9 ilikuwa inanadiwa kama improvements tu ya ndege tangulizi yenye usalama wa kutosha. Ingekuwa ndege mpya naamini wangekuwa more stringent.
 
Aisee, umedadafua vizuri sana.Rahisi imekua aghali sasa.
 
Unamfahamu huyu bwana? He looks and sounds extremely smart. Tatizo nini?
Namfahamu vizuri, na kweli he's very smart lakini ni mnazi sana wa chama. Kuna kauli aliziongea mwaka jana mwezi August kule Dodoma kwenye kikao cha wanasheria wa Serikali nadhani imemgharimu sana.

Hana breki anavyozungumza........
 
Chama gani? Si aligombea ubunge 2015 kupitia UKAWA kama sikosei na alishasema kuwa aliachana na siasa. Nilimuona mzalendo sana alipoamua kuondoka TANESCO wakati ule wa sakata la Muhongo na nilikuwa sielewi ni kwa nini inamuwia vigumu hivi kuupata urais wa TLS.
 
Back
Top Bottom