Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455226343_382702~2.jpeg
 
Hata hivyo Bale amejiondoa katika uwezekano wa kuhamia Manchester United, huku klabu hiyo ya ligi kuu ya England ikionekana kuelekeza darubini yake kwa Jadon Sancho, Callum Hudson-Odoi na Declan Rice. (Star)
 
Chelsea ina mpango wa kumsajili kiungo wa kati wa Atletico Paranaense Mbrazil Bruno Guimaraes, 21, msimu huu wa joto, licha ya marufuku ya usajili wa wachezaji waliyowekewa na shirikisho la soka Duniani Fifa. (ESPN)
 
Back
Top Bottom