myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Inasikitisha sana...Kuna watu makatili sana Mkuu Myoya, sijui alimkosea nini hadi kuamua kutoa uhai wake.
Kuna mchagga fulani jirani yetu alikuwa anayo kwake. Alikuwa na bonge la bustani.....Inapendeza sana ikiwa ndani ya nyumba au nje halafu karibu na Xmas huwa inatoa maua mazuri yenye rangi nyekundu.
Śhe's fat with grandma wings.