capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Very true.Black is ALWAYS Beautiful
Very true.Black is ALWAYS Beautiful
Je hakuna njia ya majadiliano ?WAASI RWANDA: HAKUNA NJIA NYINGINE ZAIDI YA KUPIGANA NA KAGAME
Its Rwanda Again!!
Sad
Aseee, mbona hela ndefu sana ukichukulia Hazard ameshatoa mchango wa kutosha darajani!!?Chelsea wametupilia mbali ofa ya £100m kutoka kwa Real Madrid ili kumnasa kiungo wa Ubelgiji Eden Hazard, 28. (Independent on Sunday)
Nao waruhusiwe tu wakasake mataji kwinginekoKiungo wa kati wa Ufaransa, Paul Pogba,26, na mlinda mlango David de Gea, 28, ni sehemu ya wachezaji saba wa Manchester United wanaofikiria kukiacha kilabu hicho.(Sunday Times )
Aivyoahidiwa mshahara mnono na malupulupu alikua anachekelea leo anajutia nini?..Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar, 27,anasikitika' sana' kuondoka Barcelona, anasema aliyekua mchezaji mwenzie ndani ya kikosi hicho Adriano. (Cadena Ser)