capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
You so sweet. Thank YOU.
You so sweet. Thank YOU.
Wolves ni wapumbavu sana.
Hivi kasheshe ni neno la kiswahili?
Ndiyo. Nini naweza kufanya kwa Taifa langu kama siwezi kulipigania??
Nitakuwepo DOM.
Huamini?
Kuna wakati nilijiuliza hili swali kwa muda kama wa wiki hivi. Nikatafari kwa kina prons and cons za kulipigania Taifa langu katika hiki kipindi kigumu tunachopitia hasa kwa kutilia maanani kwamba naweza kabisa kupotezwa.
Katika kutafakari kwa kina likaibuka swali jingine. Kama si mimi wa kulipigania Taifa langu ni nani mwingine?
Nikapata ujasiri wa hali ya juu na woga wa kupotezwa ukapotea kabisa. Na hivyo badala ya kuamua kuingia mitini kwenye haya mapambano nikaamua kuendelea nayo hadi kieleweke.
Siku nyingine nimekuwa sehemu sehemu na wasiojulikana. Na baada ya kuwagundua tu mie na washkaji tukaanza kufuatilia nyendo zao kwa karibu sana.
Namshukuru Mwenyezi Mungu so far so good lakini akili huzunguka na kupanga mikakati ya kukabiliana nao ikibidi kuwa hivyo. Hata ninapoondoka maeneo hayo huondoka kwa tahadhari kubwa sana huku nikihakikisha hakuna anayenifuatilia.
Unamwaminije rahisi namna hiyo??Hapana nakuamini Fragaria ila mhhhhh I reserve my comments 😎😎
HahahaHapana nakuamini Fragaria ila mhhhhh I reserve my comments 😎😎
Unamwaminije rahisi namna hiyo??
That is the difference between people!Unamwaminije rahisi namna hiyo??