Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa msimu huu, fowadi ya Arsenal imekuwa moto kwenye Ligi Kuu England ikiwa na wastani wa kufunga wa asilimia 23.1 kwa mashuti yao. Rekodi hiyo ni bora kuliko hata ile ya msimu uliopita wakati Manchester City walipoweka rekodi ya kufikisha pointi 100 na mabao 106.
 
Arsenal imefunga mabao 65 katika mashuti yao 281, lakini idadi hiyo inawafanya kuwa na wastani wa mashuti tisa tu kwa kila mechi. Fowadi ya Liverpool yenye wakali kama Mohamed Salah, Sadio Mane na Roberto Firmino, lakini bado shabaha kali kama waliyonayo kina Pierre-Emerick Aubameyang na Alexandre Lacazette huko Emirates.
 
Kwenye Ligi Kuu England timu zilizofungwa mabao mengi zaid ugenini ni Fulham waliochapwa 44, wakifuatiwa na Bournemouth waliofungwa 37, kisha Huddersfield wamefunga 35, halafu Burnley mabao 31, Brighton 30, Cardiff City na Southampton wamefunga mabao 28 kila mmoja kisha wanafuata Arsenal na Watford waliofungwa mabao 27. Manchester United na Chelsea zimefungwa idadi sawa, mabao 24, huku Tottenham na Everton wao wakigungwa mabao 21, huku Wolves wakiwa na rekodi tamu kuliko vigogo ya kufungwa mabao 19.
 
D3huDHRXkAEuhpG.jpg
 
Back
Top Bottom