BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
hahahahahah huku unaomba Mungu mmoja wa Air hostesses Oooops! Air hostages akuone ili akuonee huruma.
Hahaha unatamani uruke ukiamka..
Plane food bwana..
Unabandika ka sticker tu wakuamshe meal.time