Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Bet Won[emoji2]
Bet Won[emoji2]
Pamoja bro!!Sikuwa nikijua Bro, Ahsante kwa taarifa.
Hakika [emoji120][emoji120]Naendelea vyema ankoo,japo la kheri kama u mzima na uwapendao hapo[emoji120][emoji120]
Asante ankoo[emoji120][emoji120]Hakika [emoji120][emoji120]
Mungu aendelee kuwa upande wako Anko
Kwa jinsi ile video ilivyo nivutia kuna haja...Mmm sasa kuna atakayewaacha according to you guys.. si ndio mpango mzima
Una i repeat kila saa eeh?Kwa jinsi ile video ilivyo nivutia kuna haja...
Hahaha unatamani uruke ukiamka..
[emoji2][emoji2][emoji2]
Halafu ni kitu cha hapa hapa nyumbani.. Mambo ya pwani... Kitu "tetema"Una i repeat kila saa eeh?
Vipi mkuu??