This is it.
Ninayo kali zaidi ila naogopa kuiweka hapa [emoji16][emoji16][emoji16]Una i repeat kila saa eeh?
😀😀😀 umejuaje nini nataka kusikia?Najua unajua nini anataka kuskia.
Vizuri lakini.
Sorry...Ha hah
Unaharibu mchuzi Bro, nahamasisha vijana wajitokeze DOM. Maandamano ipo kikatiba.
BTW ni vizuri kuhamasishana.
Sijihusishi na Dola na hakuna mwanasiasa ninafahamiana naye..
[emoji16][emoji16][emoji41][emoji41]Haya mapenzi ya Kibongo Bongo haya mmmh...msiwe mnaenda deep sana na hizi ishu za wazungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😀😀😀 umejuaje nini nataka kusikia?
Its Okay Bro.Sorry...
Safari nyingine weka angalizo !!!
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]Its Okay Bro.
We do? This is breaking news...Kwani hujui wanawake wote mnafanana??