Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wozaaaaa !!!
"All men are dogs...."We do? This is breaking news...
Lamba lamba?Usiku wa kupeana pipiii
[emoji818][emoji818]Haya ni mambo ambayo hayawezi kutungiwa sheria kuwalazimisha wananchi kuyafuata, ni suala la mtu binafsi kulichukua kama zingatia kwa ajili ya maisha yake na familia yake. Rai yetu ni kila mmoja kuzingatia hili kwa masilahi yake.
[emoji818][emoji818]
Duh!!Nimezingatia misingi ya utu wa huyu jamaa siwezi kumtaja nimekuwa ninamuheshimu kwa sababu amenizidi umri sana, kaoa na ana watoto wanne, ila tabia zake sizo, vijana tuwe makini kuna watu wazima hawajiheshimu
UPDATE 1: umdhaniaye ndiye kumbe siye! Waweza kaa na mtu na usijue maana hata dereva wake alishangaa hakuamini.
Huyu jamaa niliwahi kumuuliza kama ni shoga akakataa katakata na story zake masaa 24 ni kugegeda! Na ninakuambia kuwa huwezi kumdhania! Huwezi kabisa kumdhania maana si mtu wa kufanana na hayo mambo, kumbe hafai, Haikufanya nimshitukie kama ana matatizo, aliniomba mpaka nimuunganishie na wanawake walioko mwanza akija alale nao, cha ajabu alimchenga mwanamke huyo alipofika mwanza! Hapo ndipo mashaka yangu juu yake yalipodhihirika.
UPDATE 2: Mimi ni mwanaume rijali kabisa, sina matamanio na jinsia kama yangu, na post zangu ziko kule jukwaa la wakubwa nikifanya mambo yangu, wajumbe wa vikao vya kule wanafahamu! sikuvutika na mchezo wa jamaa na wala sitavutiwa mchezo wa laana kama huo!
Duh!!Uzi ushafutwa