Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images (22).jpeg
 
Rais wa Barcelona Josep Maria Bartomeu anapanga kufanya mazungumzo na nyota wa klabu hiyo Lionel Messi kurefusha mkataba wake katika klabu hiyo.
Mkataba wa Messi unakamilika mwaka 2021. (ESPN)
Star huyu wa Argentina asiye na mbwembwe wala majivuno, namtakia heri kwenye maisha yake ya soka.
Nadhani Catalonia ni mahali sahihi kwake kumalizia soka lake
 
Back
Top Bottom