Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,495
Sijambo Babaa.. uko poa?
Hata mie naona.. Messi kakufurahisha ee?
Hapana natafuta likes tu hakuna kingine FragariaHata mie naona.. Messi kakufurahisha ee?
Watu wengine simu ni iPhone lakini tabia ni za TECNO [emoji16][emoji16][emoji16]
Nakupa hongera ya kuamka salama na afya tele. Mshukuru Mungu kwa kila jambo.Wiki hii ngumu(huku man u,humu r madrid bado yanga na droo) hii hongera ya nini mkuu?
Aaahaa AmenNakupa hongera ya kuamka salama na afya tele. Mshukuru Mungu kwa kila jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app