Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kukosa penati siyo uzembe kamanda, kukosa penati ni kawaida tu kwenye mchezo wa soka.
Masupa staa hawa hapo chini kila mmoja amekosa penati muhimu kwenye mechi ya fainali.
Robert Baggio alikosa penati ya mwisho kwenye fainali za kombe la Dunia.
Brazil - Italy 1994 America.
Andriy Shevchenko naye akapoteza mkwaju wa mwisho wa penati, Liverpool vs Ac Milan, UEFA Champion Legue 2005. Na wengine wengi wameshapoteza na wataendelea kuzipoteza maana ni sehemu ya mchezo wa sokaView attachment 1065057View attachment 1065058
Hata ujastifai vipi bado ni uzembe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Juicy

190e851d-e763-415b-be9a-b8092d361622.jpeg
 
Chama gani? Si aligombea ubunge 2015 kupitia UKAWA kama sikosei na alishasema kuwa aliachana na siasa. Nilimuona mzalendo sana alipoamua kuondoka TANESCO wakati ule wa sakata la Muhongo na nilikuwa sielewi ni kwa nini inamuwia vigumu hivi kuupata urais wa TLS.
Mkuu Ngwilimi siku hizi anaunga mkono juhudi za Raisi. Ilifika hadi akaamua kusema bayana kwamba wanasheria wa Serikali ni lazima waunge mkono juhudi za Serikali na kutekeleza ilani ya chama tawala.

Yeye na Kabudi walikuwa ni watu ambao wameipinga sana TLS chini ya Karume. Hadi wakafikia kipindi wakawa na mpango wa kuanzisha chama cha wanasheria wa serikali kama mbadala wa TLS.
 
Haifunguki ankoo, ulikuwa ubuyu nini? Mdomo unaniwashaje [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duh!

Kutana na TAPELI wa firushi vya Mitandao 0625909537 anasema kule insta kuna tapeli anajitangaza page maarufu,anatumia namba hio,huyu jamaa anajitapa kukuunga mitandao ypte GB hadi dakika na sms ila ukimtumia pesa imekula kwako
Haifunguki ankoo, ulikuwa ubuyu nini? Mdomo unaniwashaje [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha anko bana
 
Back
Top Bottom