Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

447807690_6320.jpeg
 
Kukosa penati ni uzembe...
Kukosa penati siyo uzembe kamanda, kukosa penati ni kawaida tu kwenye mchezo wa soka.
Masupa staa hawa hapo chini kila mmoja amekosa penati muhimu kwenye mechi ya fainali.
Robert Baggio alikosa penati ya mwisho kwenye fainali za kombe la Dunia.
Brazil - Italy 1994 America.
Andriy Shevchenko naye akapoteza mkwaju wa mwisho wa penati, Liverpool vs Ac Milan, UEFA Champion Legue 2005. Na wengine wengi wameshapoteza na wataendelea kuzipoteza maana ni sehemu ya mchezo wa soka
FB_IMG_1554640901337.jpeg
FB_IMG_1554641640422.jpeg
 
Back
Top Bottom