Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Zamani zileee, warembo wa Vijijini [emoji16][emoji23][emoji23]Ya kwangu haitakaa ifunguliwe ng'o. Kama ni kutongozana mtanange unakuwa hapa hapa barabarani laivu uonekane na wapita njia unavyochora chora chini na kutafuna majani kwa aibu (wahenga tu ndiyo wataelewa hii) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2088][emoji2088][emoji2088]Unaweza hata kuishia kujichoresha kwa kulitongoza fyekero upya kumbe huko nyuma ulishawahi kulitongoza pia kwenye id ya lenyewe orijino [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hatari sana kamanda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sent using Jamii Forums mobile app
Majukumu yake hajayamaliza YangaKesi zake alishamaliza?
Dah.. nimechekea comment za huu uzi..
Ngoja wenye flatiskrini tuanze kutongoza aisee..nawajia wote pm zenu fungueni...