Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1066334
 
Dah.. nimechekea comment za huu uzi..
Ngoja wenye flatiskrini tuanze kutongoza aisee..nawajia wote pm zenu fungueni...
Ya kwangu haitakaa ifunguliwe ng'o. Kama ni kutongozana mtanange unakuwa hapa hapa barabarani laivu uonekane na wapita njia unavyochora chora chini na kutafuna majani kwa aibu (wahenga tu ndiyo wataelewa hii) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni mara ngapi umeona tukio kama hili nyota wa timu anakosa penalti inayoitoa mashindano?

Nyota wa Simba, nahodha John Bocco amekosa penalti muhimu katika maisha yake ya soka Jumamosi iliyopita na kuiweka klabu yake katika mazingira magumu ya kusonga mbele kwa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
 
Bocco ni mchezaji aliyejipambanua kwa umakini katika upigaji wa penalti msimu huu katika kikosi cha Simba hivyo Jumamosi ilipotokea nafasi hiyo dhidi ya TP Mazembe hakuna aliyekuwa na shaka juu ya uwezo wake wa kubaba jukumu hilo zito.
 
Lakini Waswahili wanasema siku ya kufa nyani miti yote uteleza ndicho kilichomkuta Bocco wakati Simba ikitaka japo ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe nyumbani na nafasi ikiwa ndiyo hiyo pekee nahodha huyo alipaisha mpira wake na kuacha majozi kwa mashabiki wa Simba nchini.
 
2 Aliou Cisse

Kiungo Aliou Cisse wa Senegal alikosa penalti baada ya kupanguliwa na kipa wa Cameroon, Alioum Boukar katika fainali ya Fainali za Mataifa Afrika 2002, baada ya kiungo huyo kukosa penalti Cameroon ilitwaa ubingwa.
 
3 Roberto Baggio

Nyota wa Italia katika Kombe la Dunia 1994, aliiongoza timu hiyo kufika fainali dhidi ya Brazil kutokana na mabao yake.

Baada ya dakika 120 za fainali kumalizika kwa suluhu ilifika wakati wa kupiga penalti ndipo Baggio alikwenda kupiga penalti ya mwisho ya Italia, wakati kila mtu akiamini atafunga badala yake penalti yake ilipaa juu na kuifanya Brazil kutwaa ubingwa.
 
Back
Top Bottom