Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hivi kumbe hukajui kapoti wewe. Be careful. Ukija kushtuka vu bin vuu haka hapa na maua, mvinyo na makorokocho kibao. Halafu hakoo mbio kwenda kujificha kwenye ugumu feki. Huku raia wanabakia kusema ukiona manyoya....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ugumu wote kushney.. mpaka flowers..kumbe upo romantiki..