Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1547209530521.jpeg
 
BREAKING NEWS, 👉👉Brighton Moyo, raia wa Zimbabwe aliyekuwa akiishi Afrika Kusini ambaye aliigiza kifo na kufufuliwa na Alph Lukau amefariki dunia na kuzikwa, safari hii hakukuwa na maigizo wala muujiza. Imeelezwa kuwa alikuwa akiishi na VVU na figo na mapafu yake vilipoteza uwezo wa kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom