Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hadi wa leo bado[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Ila kupita kona za Bwiru ulikuwa bado...[emoji16][emoji16][emoji16]. Esta bwana. You are one of a kind indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei na Masaki Peninsula nimehama nimehamia Dubai ....
Additional isidingo nimeanza ifatilia 98 baada ya egoli kustopishwa ikaja yenyewe.kule itv
 
Amekukumbusha wapi? Andaeitini yeye anakopi na kupesti tu. Unafikiri hata anawajua hao uliowataja? Pulizi...[emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hahahahahaaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], huwezi jua huenda ni muhenga.
Kwakweli hapo namkumbuka sana mpachika mabao raia wa Ghana Anthony Yeboah, akijiunga na Leeds United ya England akitokea Frankfurt Eintrachit ya Ujerumani 1995.
Huyu bwana akiwa na wakali wengine kama Garry Speed, Harry Kewell, Lucas Ladebe, Phill Masinga nk. Waling'arisha sana Leeds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…