Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ushindi wao wa mwisho ulikuwa dhidi ya Atletico Madrid juzi Jumamosi ambapo mpaka dakika ya 84 ilikuwa hakuna bao.
Zikiwa zimesalia dakika tano tu mchezo kuisha, Luis Suarez alituma kombora moja lililomshinda mlinda mlango wa Atletico Jan Oblak ambaye alikuwa nyota kwa upande wa timu yake kwa kuokoa michomo mingi ya Barca.
Zahma tena ikarudi baada ya dakika moja tu kwa Lionel Messi kupachika bao la pili baada ya kuwahadaa walinzi na mlinda mlango wa Atletico.