Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna watu wamevimbiwa amani kama wale wanaovimbiwa na chakula au pombe" - Rais Dk. John Pombe Magufuli

basi wachangiaji wa fb wakaanza kujibu
  1. Wengine wamevimbiwa madaraka, full kuvimbiwa
  2. Naona wamevimbiwa wataitapika, sababu waliovimbiwa madaraka wanawatia kichef chef
  3. Nibora kulewa amani kuliko kulewa madaraka!
  4. Hakuna Amani pasipokua na Haki viongozi mnajifarijitu Amani hapa nchini haipo kwa sababu Hakuna Haki kilichopo hapa ni utulivutu
  5. Ni bora uvimbiwe amani kuliko kuvimbiwa madaraka.Nakunawengine wamevimbiwa vyeo mpaka kumwambia Mungu akushukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…