Gusa gusa humuHuyo jamaa historia yake si inasema alikuwa fundi mchundo? Au nimekosea? [emoji1][emoji1]
Gusa gusa humu
![]()
method mogella 'fundi'
alikuwa kijana mtanashati,mweupe na mrefu wa wastani. Safari yake ya soka ilianza mwanzoni mwa miaka ya tisini pale chuo cha ufundi arusha technical college. Alisajiliwa na timu maarufu ya AICC arusha na baadae kuhamia timu ya ndovu ya mjini arusha pia. Ndovu ambayo ilikuwa ikicheza ligi...www.jamiiforums.com
Umeamua kujivua uandaeitini rasmi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yep! Kama utakuwa umepitia yale majengo pale Morogoro Road na UWT Street huwezi kutoijua historia ya huyu Muungwana! TCA na pale ilikuwa damu damu, sijui kwa sasa hivi!
Umeamua kujivua uandaeitini rasmi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Amefariki zaidi ya miaka 10 sasa, Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala pema peponi Iddi R MchattaSikujua huyu naye kama kafariki. RIP
Hujakosea, alikuwa kilaka kuanzia beki mpaka kwenye kiungoHuyo jamaa historia yake si inasema alikuwa fundi mchundo? Au nimekosea? [emoji1][emoji1]