Yep! Kama utakuwa umepitia yale majengo pale Morogoro Road na UWT Street huwezi kutoijua historia ya huyu Muungwana! TCA na pale ilikuwa damu damu, sijui kwa sasa hivi!
Umeamua kujivua uandaeitini rasmi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] WahengaHiyo si historia tu Mkuu kama zilivyo za akina Mkwawa? [emoji1][emoji1]
Wazee wa tuisheni Mnazimmoja Pr. Sc.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wahenga