Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

54513434_2294169400799760_1922876272300396262_n.jpg
 
Ukisha kwaruzana na Busanji tu, unaanza kuzurura mote humo. Physics na Chemistry acha kabisa, unajikuta tu unakuwa mgumu "holizontally" yaani hupati shida[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Physics kama Namba zilikuwa zinapanda haikuwa ngumu kivile, kigongo ilikuwa hiyo Kemia bana, daah! [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Physics kama Namba zilikuwa zinapanda haikuwa ngumu kivile, kigongo ilikuwa hiyo Kemia bana, daah! [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwalimu wa kemia anajihami utasikia "hii Organic chemistry itabidi tuianze wiki tatu kabla ya mtihani kuanza ili iwe rahisi kuyashika haya 'machain'" kumbe naye yanamgomea [emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera mkuu unaendelea kupambana nayo
 
Back
Top Bottom