Mark Viduka(Leeds United, 2004)
Mwamba wa mabao wa Australia. Alitumia miaka tisa katika Ligi Kuu ya England akikipiga katika klabu za Leeds United, Middlesbrough na Newcastle United. Viduka alifunga mabao 92 katika kipindi chake Ligi Kuu ya England huku akiwa na jumla ya mabao 269 katika michuano yote kwa klabu alizochezea na timu yake ya taifa ya Australia.
[emoji818][emoji818]
Ati kuku na yai. Kipi kilianza?We don’t laugh because we’re happy – we’re happy because we laugh.
Let us eliminate Cancer in the World by all means