Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Camel toe ya bandia. Shwaiiiniii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
6faec345-4015-4702-9692-14c574f0d24f~2.jpeg
 
Watu wamelalamika sana tena kwa hisia kali. Wanyiramba nilikuwa sijui kuwa ni wakali. Wairaqw hao nawajua...British Kingdom labda mamiguu na misambwanda na weusi wao wa asili...
Hahah hawajatenda haki kabsa,,britsh kingdom kwa mamiguu wapo vizuri,rangi zao pia usiseme bro,,nasikia pia Wagogo nao wapo vyema sana,

Kwema lakini brother??
 
Wagogo siwafahamu vizuri. Nilipiga kwata Makutupora lakini sikupata bahati ya kuwafahamu sawasawa. Kama utakuwa Singida aisee nikipita mitaa hiyo nitakushtua nije niwaone Wanyiramba...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Huku kwema mno bro. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hahaha karbu sana bro,wiki ijayo ntakuwa huko,,sema yule mwanajeshi yupo hajaenda masomoni tatzo
 
Back
Top Bottom