moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwahiyo kujiweka feki ni kujaribu kuhadaa wapenda msambwanda[emoji16][emoji16].Nyinyi si mnapenda feki lazima wanawake baadhi wajiongeze
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kujiweka feki ni kujaribu kuhadaa wapenda msambwanda[emoji16][emoji16].Nyinyi si mnapenda feki lazima wanawake baadhi wajiongeze
Kwa jeuri ya Simba, Kumbe ana mbabe wake
Asimia kubwa wanaume kwa Sasa wanapenda vitu feki so baadhi ya wanawake nao wanajiongezaKwahiyo kujiweka feki ni kujaribu kuhadaa wapenda msambwanda[emoji16][emoji16].
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wako vp mkuu??Asimia kubwa wanaume kwa Sasa wanapenda vitu feki so baadhi ya wanawake nao wanajiongeza
Yes niko mbali nao
"Mtoto umleavyo Ndivyo akuavyo""Kata pua uunge wajihi" na usisahau "Kozi mwanamandanda kulala njaa kupenda" 2015-2025-JIWE JUU YA MAWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry sijaelewa hii comment.Kwa upande wako vp mkuu??
"Mtoto umleavyo Ndivyo akuavyo"
Umejiongeza msambwanda au upo original??maana umesema wanawake wa sasa wanafanya kile wanaume wanachokitakaSorry sijaelewa hii comment.
Mi sipendagi feki bhana,Asimia kubwa wanaume kwa Sasa wanapenda vitu feki so baadhi ya wanawake nao wanajiongeza
Umeninukuu vibaya nimeandika baadhi ya wanawake, nikija kwenye swali lako niko original.Umejiongeza msambwanda au upo original??maana umesema wanawake wa sasa wanafanya kile wanaume wanachokitaka
Ok sawa mkuu,nmekuelewa vyema sasa,,uwe na wakati mwema huko uliko[emoji120][emoji120][emoji120]Umeninukuu vibaya nimeandika baadhi ya wanawake, nikija kwenye swali lako niko original.
Nikukumbushe tu, "Akufanyiaye ubaya mlipe Wema"
Swali tata,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] niliwahi kuuliza swali kama hilo siku kadhaa zilizopita kwa mrembo furani, nadhani unakumbuka yale majibu bro[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa upande wako vp mkuu??
Nawe piaOk sawa mkuu,nmekuelewa vyema sasa,,uwe na wakati mwema huko uliko[emoji120][emoji120][emoji120]
Wala halina utata nimejibuSwali tata,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] niliwahi kuuliza swali kama hilo siku kadhaa zilizopita kwa mrembo furani, nadhani unakumbuka yale majibu bro[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app