[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakumbuka bro,sema inategemea na mtu atakavyolichukulia swali lenyewe ndugu yangu,,Swali tata,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] niliwahi kuuliza swali kama hilo siku kadhaa zilizopita kwa mrembo furani, nadhani unakumbuka yale majibu bro[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nyinyi ambao akipita mwanamke mwenye msambwanda hata kama ukiwa na mkeo kugeuka ni lazima hiyo,tena mwanamke akizubaaa anafatwa.Mi sipendagi feki bhana,
>Msambwanda wa kichina
>Mkorogo na feki feki nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa kujbu vyema mkuuWala halina utata nimejibu
HahahahaAisee nyinyi ambao akipita mwanamke mwenye msambwanda hata kama ukiwa na mkeo kugeuka ni lazima hiyo,tena mwanamke akizubaaa anafatwa.
Sikujua kama wew ni KE! Kwa nini unajiita mwachi?Umeninukuu vibaya nimeandika baadhi ya wanawake, nikija kwenye swali lako niko original.
Mwachi hili Jina si langu ni Hawachi ni muunganiko wa mwanzo wa majina ya wazazi wangu.Sikujua kama wew ni KE! Kwa nini unajiita mwachi?