Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Everything about the photo -- from Teigen's face getting jabbed what that looks to be a straw to Legend's shocked reaction while being pelted with ice, to Wade's totally ambivalent expression, focusing instead on the game itself than the celebs he crashed into -- all made it a true work of art.
 
"I still got my drink," Legend proudly declared in the clip, holding up what little remained of whatever he was imbibing as Teigen tried to wipe some of the drink off his forehead.
 
Teigen and Legend were seated next to Wade's wife, Gabrielle Union, during the historic game, and the new America's Got Talent judge was adorably supportive as he played.
 
Wengi wanapata matatizo kwa kusingiziwa.
Kikubwa ni kumwchia Mwenyezi Mungu
 
Nimesoma yote na kujifunza mengi.

Kuna kipindi ng'ombe wa mzee mmoja waliibiwa kijijini kwetu. Polisi wakaja na kusomba vijana karibu wote waliowakuta. Wakafika kwetu maza akaniambia nikajifiche. Basi wakamuuliza akasema pale hakukuwa na mwanaume ndani ya nyumba ndo ikawa pona yangu.

Vijana walipelekwa eti kuhojiwa lakini walikaa ndani karibu mwezi mzima na kutoka ilibidi ndugu zao wauze mashamba na mifugo ili kuwatoa. Walitoka wakiwa wamekonda balaa. Na ng'ombe walioibiwa kumbe ni aliyekuwa anawachunga ndiyo alikuwa amepiga dili akawauza kwa wafanyabiashara wanaopeleka ng'ombe Pugu mnadani.

Watu wanaonewa sana nchi hii wallahi...
 
Aisee, mama aliwaza chap chap akakuepusha na msala.
 
Itabidi tuongee bro kuhusu huyu dada yako.Ngoja nijipange πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tuongee? Hapana bro. Nyie wapendwa wapendana mnaongea huko. Ukija kwangu ni ishunza mahari tu. Na kama huujui mziki wangu katika kudai mahari muulize Andjul na Uniq watakusimulia [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…