Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Our Idd Amin made the cut...
449009866_402230.jpeg
 
Tuongee? Hapana bro. Nyie wapendwa wapendana mnaongea huko. Ukija kwangu ni ishunza mahari tu. Na kama huujui mziki wangu katika kudai mahari muulize Andjul na Uniq watakusimulia [emoji16][emoji16][emoji16]
Ondoa shaka, yaani ukiona nimekuja ujue nishaelewana na dada yako.

Hapa nasubiria PM ya Fragaria kwanza(ahadi ni deni 😀😀😀😀)
 
MKE WA PRINCE HARRY ATAMANI KUJIFUNGULIA NYUMBANI _ Mke wa mtawala wa Sussex Meghan Markle anadaiwa kufikiria kujifungulia nyumbani kwake huko Windsor baadaye mwezi huu, kwa mujibu wa rafiki zake. _ Meghan, mke wa Prince Harry mwenye miaka 37, anadaiwa kutamani kufuata nyayo za Malkia kwa kujifungulia nyumbani kwake Frogmore Cottage, nyumba mpya anayoishi sasa na mumewe Harry katika eneo lao la Berkshire. _ Kwa mujibu wa mtandao wa Daily mail, Malkia wa Uingereza alizaliwa nyumbani kwa babu na bibi yake huko Mayfair na kisha naye kuzaa watoto wake wote wanne katika kasri la Buckingham na kwenye nyumba yake huko Clarence. _ Hata hivyo vyanzo vya habari vimesisitiza kuwa, licha ya matamanio hayo ya kujifungulia nyumbani, Harry na Meghan,wanaotarajiwa kupata mtoto wao wa kwanza ndani ya wiki hizi za karibu hawajakataa uchaguzi wa kujifungulia hospitali kutokana na ukweli kuwa mwanamke anayejifungua akiwa na umri wa zaidi ya miaka 35 huhitaji uangalizi zaidi kutokana na hatari ya kujifungua mtoto kabla ya wakati au huhitaji upasuaji wa haraka
 
Back
Top Bottom