Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa upande wake kocha wa City Pep Guardiola amesema matokeo ya Klabu Bingwa kwa kawaida ni magumu lakini kwa sasa mipango yao yote ipo kwenye mchezo wao unaofuata wa Ligi ya Premia dhidi ya Crystal Palace. City na Liverpool wanaminyana vikali kuwania ubingwa wa Premia.