Mkuu inasikitisha sana. Tuna utawala wa Lucifer sio wa kawaida toka tupate uhuru.Na wale waliookotwa kwenye viroba kando ya mito na fukwe za bahari ambao mpaka sasa hatujui ni nani miongoni mwa watanzania waliopotea/kupotezwa
Uko salama bro?Wakuu Wakuu