Huu ugumu wa kutoa flowers huu nimeukubali
Atasema umehamishia kwenye maua, mvinyo, kunyanduana...au ugumu...
Yes and chocolates.. candlelight...Yeah, flowers tu haziondoi ugumu wa mtu! [emoji1][emoji1]
Mmmh si kideo kimepasuka basi kifurushi kikata hapo hapo mwenzangu tanesco wakapita na kaumeme kao hapa nilipo nachat kwa simu ya jiran aliyeenda kuazima kiberiti na karabai mtaa wa saba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]Numbisa matokeo ngapi kwani?
Yes and chocolates.. candlelight...
Endelea kuwa mgumu ...unalipa
Potiiii banaHebu rudi hapa! [emoji1][emoji1][emoji1]
🤣🤣🤣🤣Mmmh si kideo kimepasuka basi kifurushi kikata hapo hapo mwenzangu tanesco wakapita na kaumeme kao hapa nilipo nachat kwa simu ya jiran aliyeenda kuazima kiberiti na karabai mtaa wa saba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Safi sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Leo CR7 angalau atakupa raha. Huku kwingine inaonekana itakuwa majanga tupu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]CR7 munyamaaaaaaa oyoooooooo
Leo CR7 angalau atakupa raha. Huku kwingine inaonekana itakuwa majanga tupu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]View attachment 1068147